![]() ![]() ![]() Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarish (Kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania. ![]() “Nawaomba sambamba na kuwa na mipango ya kazi mfanye kazi kwa matokeo na kuwa wabunifu kadri iwezekanavyo kwa kila mfanyakazi kujitahidi kuwa na mawazo mapya ambayo yatasaidia shirika kuboresha utekelezji wa majukumu majukumu yake” alisema Bibi Maimuna. ![]() Amewataka wafanyakazi kuendelea kuwa wabunifu zaidi kwa kuibua mawazo mapya yatakayosaidia kuboresha utendaji wa Bodi siku hadi siku na kujipima kwa matokeo ya kazi na mipango wanayojiwekea. Aloyce Nzuki.Īkifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii hivi karibuni katika ukumbi wa Mikutano wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarish amesema Bodi ya Utalii imeendelea kutekeleza vema majukumu yake na kwamba wafanyakazi wa taasisi wana kila sababu ya kujivunia mafanikio haya kwa kuwa kila mmoja kwa nafasi yake amechangia katika mafanikio hayo. Maimuna Tarish (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi Bodi ya Utalii baada ya uzinduzi wa baraza hilo jipya katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (Dar es salaam),kushoto kwake ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Bodi Utalii Tanzania Dkt. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imepongezwa kwa kazi nzuri inayofanya katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwa ni pamoja na jukumu kubwa la kuitangaza Tanzania kama eneo bora lenye vivutio vingi vya kitalii duniani pamoja na ushindani mkubwa kutoka nchi nyingine na hivyo kufanya idadi ya watalii wanotembelea nchi yetu kuendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka sambamba na kuongezeka kwa pato la Taifa litokanalo na sekta ya utalii. ![]()
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. Archives
December 2022
Categories |